Hahaaaaa! Mimi ni Simba damdam kaka hao mbute Mimi kuliko kuishangilia bora nishangilie wafu.Kumbe na wewe ni Lunyasi Raynavero?[emoji1360][emoji1360][emoji1360][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ka shape kake hako 👩🏻🦱
Atatokelezea hatari kabisa 🤣🤣🤣
Ndio mnaongea na simu ama? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Leo tumuombe atuwekee ka picha
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]daaaah!wa hapa hapa huyu!Ganga yajayo Mtani, wewe utabaki kuwa wa hapahapa huku Namungo FC akicheza kimataifa.
Ndo kilichobakia Mtani.Ganga yajayo Mtani, wewe utabaki kuwa wa hapahapa huku Namungo FC akicheza kimataifa.
Ni ombi maalumuNdio mnaongea na simu ama? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Walipotufunga lile goli moja la kimazingombwe walikua wanachonga sana, tukasema ngoja leo tuwaonyeshe japo kidogo uwezo wetuHahaaaaa! Mimi ni Simba damdam kaka hao mbute Mimi kuliko kuishangilia bora nishangilie wafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀🏃♂️🏃♂️Ni ombi maalumu
Na limao zimeadimikaAfadhali uishe Mtani mana ameshageuka kichefuchefu.
Jezi ya Simba itakupendeza saaaana, ukizingatia shape, rangi yako, rangi ya kile "chombo" hakika ulikosea kuwa Jangwani🤣😀, ila hujachelewa kuunga mkono juhudi za Lunyasi Shadeeya 🤪🤪🤪Ndio mnaongea na simu ama? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hakika wewe ni mtu wa sports na unauelewa mpira.Makapu huyu huyu alicheza vizuri mechi ya tarehe 8! Leo tulizidiwa wandugu, viongozi wajipange vizuri kwa ajili ya msimu ujao
Walipotufunga lile goli moja la kimazingombwe walikua wanachonga sana, tukasema ngoja leo tuwaonyeshe japo kidogo uwezo wetu
Eeeh!! Uwanja ni wenu leo.Hahaaaaa! Mimi ni Simba damdam kaka hao mbute Mimi kuliko kuishangilia bora nishangilie wafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba 4í ½í¸í ¼í¿ââï¸í ¼í¿ââï¸
Sio leo tu hadi itokee tena Dar derbyEeeh!! Uwanja ni wenu leo.
Ndo kilichobakia Mtani.
Japo mwisho wenu unajulikana mbona.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]daaaah!wa hapa hapa huyu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aungurumapo Simba....... sio mimi ni maneno ya wahenga hayo Shadeeya😀😀😀Eeeh!! Uwanja ni wenu leo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]dada tuache Tu vinne si mchezo!Eeeh!! Uwanja ni wenu leo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wape salaaaam!!!mwaka huu wanalo hiloo .Ila NNE nyingiWalipotufunga lile goli moja la kimazingombwe walikua wanachonga sana, tukasema ngoja leo tuwaonyeshe japo kidogo uwezo wetu
Simba itashinda goli 4 kama benchi la ufundi wakitambua makosa yao.