Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup: Simba 4-1 Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam

Majitu ya Dar maoga Sana.Yaani mmeshindwa kujaza uwanja.Ni kitu gani.Vyuma vimetight au Corona?
 
Mwenye link ya internet kushuhudia mtanange online atuwekee hapa.

Tiba
 
nyau kelele nyingiiiiii badae wanabaki laumu mvua kutonyesha wangeshinda
 
Back
Top Bottom