katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
umeanza ramli sasawYanga 1_Simba 0 goli litafungwa 1st half na kudumu mpk dk 90+
utabiri wako mkuu utadhani tumelala pamoja, leo vyura tunawapga na ndumba zaoSimba 3-Yanga 1
Wameniuliza je una coupon mim sielewelew tu
Aende uwanja wa Taifa akampande simba jikeaende wapi
Ngoja tuone mpira umeanza kwa kasi kubwaSimba 3-Yanga 1