Nusu fainali Mapinduzi Cup: Msijidanganye na Matokeo dhidi ya Azam, rekodi dhidi yenu hazidanganyi

Naombeni link niko mbali na tv Leo!!!
Link mambo ya mbele hayo. Kama hutaenda kwenye kibanda umiza utulie hapa tukupe updates. Sawa sawa?!(in Maalim's voice)
 
Tunasubiri mshindi tu ili tubonyeze kizenji kama Yanga..Azam fc raha sana
 
Wasivunje viti tu huko pemba
Mkuu!

umenikumbusha jambo. hawa wamatopeni hawakawii kuanza kusema ZDF wamepokea pesa kutoka kwa Manji ili ziongwe kwa waamuzi watakao chezesha game za YangaSC.
 
Hujaweka nani kati yao ktk mechi moja alipigwa nyingi!
YANGA 0 - 5 SIMBA SC.
Ile ya sita sitaki kuiweka hapa maana ni kitambo sana.... Nasikia Kibaden alipiga HAT TRICK.


Mkuumbona unajishushia heshima tena?

sasa nani alikuwa bingwa wa ligikuu ulipomfunga Yanga SC bao 5?

Tunatofautiana sana malengo. kwa ukubwa wa klabu ya Yanga SC haiwezi hata siku moja kuweka (kurudisha bao 5) kwenye agenda ya Mafanikio ya klabu ya wananchi.

by the way! nilishawaonya muache kujigamba na bao 5 , kwani Yanga SC hajawahi kuwapiga bao 5 nyie? au umezaliwa mwaka '86?
 
Mwenye moyo mzuri lakini!!! Anisaidie link jamani!!!

Pole sana Mkuu!

unaweza kutazama mchezo wowote ule wa soka unaorushwa na Azam TV .

Kupitia kiunganishi hiki:- [[[[AzamTV]]]]
 
Yaani kujifungia kote ukawa umekimbia jukwaa baada ya kulimwa 4NGO...!

Unadidimizwa tena leo...!


sijakuelewa mkuu. hebu jaribu kudadavua msingi wako wa ujumbe
 

4G FC hamukawii Kurudisha Goli 5 lakini Munakawia Kurudisha Zile Goli 6 za kina King Kibaden...... πŸ˜€πŸ˜€ πŸ˜€
 
simba kufungwa sasa labda amri itoke magogoni
Mkuu!

inapendeza kuona umetafuta kisingizio mapema.

sasa wataarifu wana simba wenzako kuwa ''jamani kama endapo tukipoteza hii game ya leo basi Kiongozi wa magogoni amehusika.''
 
simba kufungwa sasa labda amri itoke magogoni
Mkuu!

inapendeza kuona umetafuta kisingizio mapema.

sasa wataarifu wana simba wenzako kuwa ''jamani kama endapo tukipoteza hii game ya leo basi Kiongozi wa magogoni amehusika.''
 
Ktk hii article yako umesahau kuweka na takwimu ya aliemkimbia mwenzake kwa kutorudisha timu uwanjani half ya pili
Mkuu!

pia nakukumbusha kuwa ulishindwa kabisa kutokea uwanjani katika moja ya mechi huko nyum.Nadhani unaikumbuka, kama ulizaliwa juzi niambie nikukumbushe hapa!
 
demigod Tayari Wanaume Tumeshawapakata Kiulaini! Nyinyi Mutaishia Kuwa WAKITANGANYIKA tu!
Nje Ya Tanganyika Munajuilikana Kuwa ni Mboga Tu Kwa Wanaume....
Tukuwaambia Munafanya Miamala Tanganyika Munakataa!!! Sasa Ona Nje Ya Tanganyika Musikofanya Miamala Mnavyobakwa...
πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€
 
Updates brother, huu mchezo hauhitaji hasira.
 
We kweli kipofu mlipigwa 5 ikiwa simba alishatangazwa bingwa kama hujui na ndo ubingwa wa mwisho simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…