Nusu fainali Sportpesa super cup: Kakamega Homeboyz 4-5 Simba SC, Gor Mahia 2 - 0 Singida

Nusu fainali Sportpesa super cup: Kakamega Homeboyz 4-5 Simba SC, Gor Mahia 2 - 0 Singida

Mpira Wa Simba tangu afungwe na Kagera umekuwa Wa hovyo sana..na hii Leo kusonga mbele in Bahati.
 
Ukwi Simba hii
hskuna lolote
hovyo kabisa
mchezo mbaya
 
HV kwann Haya mashindano kila mwaka hatua zote wanatoana kwa matuta..
 
Back
Top Bottom