Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hii comment umeandika kwa shingo upandeMkude kapata penalti ya 5
Simba Bila Okwi na Boko hatuna mfungaji
na wakimataifa wote kasoro niyonzima, sababu sijui niniOkwi na bocco imekuaje wameachwa
Mkuu hii ni kama simba B tu....Hiii timu siielewi Kabisa sahiv, tangu game ya Kagera hatujaona magoli.
na wakimataifa wote kasoro niyonzima, sababu sijui nini
Wameingia fainali bila kufunga goli kwenye muda Wa kawaida.. Manara tulimwambia anainajisi timu.Wasonga mdogo mdogo tu watafika England
Kwani uliwapangia ww kucheza kumbuka palw kuna maadaui pale wa fainali wanawasomaTumeingia fainali ila Tumecheza hovyo hovyo
Lakini pia wameingia fainali bila kufungwa goli kwenye muda wa kawaida! πππWameingia fainali bila kufunga goli kwenye muda Wa kawaida...