Jee, hiyo itakuwa marudio ya yaliyojiri mwaka 1974 hapo CCM Kirumba kati ya timu hizo mbili?Patashika ya michuano ya Azam Sports Federation Cup hatua ya Nusu Fainali kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC, inatarajiwa kupigwa Jumamosi ya Mei 28, 2022 majira ya saa 9:30 Alasiri, kwenye Dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza...
Historia Ni muhimu Sana.Si tumekubaliana tusiishi kwa historia au kukariri, kwa kuwa mambo yamebadilika...!
Wewe subiri hiyo siku Historia iwachinje, maana ili kombe ndu mmelitolea machoOkay, nimekumbuka Simba kwenye michuano hii ana historia ya kupiga mabao kuanzia 1 hadi 7
Kwahivyo kuna ambaye anakula nyingi siku hiyo.
Simba hawezi fungwa na vipofu kama utopolo. Timu ambayo mechi iliyoisha haikulenga lango la simba hata mara Moja.Mpaka hapo simba mwaka huu tumemaliza na kombe la mapinduzi tu [emoji22][emoji22][emoji22] so sad!
Simba hana timu ya kunfunga Yanga zaidi ya uchawi na kuhonga waamuzi.Simba hawezi fungwa na vipofu kama utopolo. Timu ambayo mechi iliyoisha haikulenga lango la simba hata mara Moja.
Linapokuja suala la fainali , nusu fainali , robo fainali dhidi ya utopolo simba huwa hafanyi makosa. Tunza hii comment .
Timu gani ya uto isiyoweza kufungwa na simba? Hii iliyopigwa na akina kapumbu na Rivers utd nje ndani ? Au kuna utopolo nyingine? Kama ni hii inayotegemea uchawi wa Djuma mchana kweupe itakula kipondo hadi muikatae.Simba hana timu ya kunfunga Yanga zaidi ya uchawi na kuhonga waamuzi.