niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Daah
3 - 1 dakika ya 65Matokeo mpaka sasa vipi?
Tulia kwanzaPenalty ya kipuuzi kabisa. Mtu kabana mikono kabisa maana yake ball to hand.
Refa huyu amewahi kutoa penalty 5 kwenye mechi 1
Nan kafungaaGoooooooooooal
HaaaaahaaaaaZambia 4 - 1 Tanzania
Dakiaka ya 68