Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

Kiukweli kuanzia aya mashindano yaanze stars imepita kwa kubaatisha, leo hata 5 tutapigwa, wachezaji utafikiri wametokea somalia
 
Tanzania mpira tunacheza sana Ila bahati sio yetu, Forward wamekosa umakini sana
 
Dakika ya 75
Jukwaa la mashabiki wa TZ limepoa sana
 
Lahaulaaaa msuva anakosa kosa Goli hapa
 
Back
Top Bottom