BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Rais bora Afrika ni yule mwenye uwezo wa kushinda nishani ya Mo Ibrahim. Ambayo kigezo chake no moja ni utawala bora na demokrasia. Vipi huyu anayeitwa bora anavyo hivyo vigezo???