Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

Nusu fainali ya COSAFA: Zambia 4 na Tanzania 2

duh ht km ni kutomkubali bt hii ni too much aisee....magu anaingiaje hapa?
 
Rais bora Afrika ni yule mwenye uwezo wa kushinda nishani ya Mo Ibrahim. Ambayo kigezo chake no moja ni utawala bora na demokrasia. Vipi hutu anayeitwa bora anavyo hivyo vigezo???
 
Zambia wanafanya mabadiliko hapa dakika ya 92
 
Na mpira umekwishaaaaa

ZAMBIA 4 - 1 TANZANIA
 
Mama ako umemjulisha? Fara wewe unaendekeza majungu utakufa na pressure mwehu wewe.
 
Back
Top Bottom