Unapigwa nyuzi bila ganzi kitu ambacho ni cha kawaida hata leo kwenye case maakum. Kuna ticha mmoja alitariwa ukubwani baada ya kuondolewa mkono-sweta akasema yuko poa akaendesha baiskeli umbali wa takribani km 13, alivyofika nyumbani ndani ya dakika 10 maumivu yakaanza, nyuzi zilikata/kuhama kutokana na kuzungusha pedal ya baiki-alianza kulia kama katoto kachanga huku aibu zimemuisha wanawake wanaanagulia tu dudu yake; weweeeee alivyorudishwa kwa dokta, dokta alimshona upya bila ganzi. Jamaa hadi akisikia tohari mwili humsisika na kujikuta anaishikilia dudu yake.