Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaeza kufa kwa shock mkuuUnapigwa nyuzi bila ganzi kitu ambacho ni cha kawaida hata leo kwenye case maakum. Kuna ticha mmoja alitariwa ukubwani baada ya kuondolewa mkono-sweta akasema yuko poa akaendesha baiskeli umbali wa takribani km 13, alivyofika nyumbani ndani ya dakika 10 maumivu yakaanza, nyuzi zilikata/kuhama kutokana na kuzungusha pedal ya baiki-alianza kulia kama katoto kachanga huku aibu zimemuisha wanawake wanaanagulia tu dudu yake; weweeeee alivyorudishwa kwa dokta, dokta alimshona upya bila ganzi. Jamaa hadi akisikia tohari mwili humsisika na kujikuta anaishikilia dudu yake.