Nusu ya wanaume Ulaya hawafui mashuka yao. Just Imagine Tanzania hali itakuaje?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Huko ni Ulaya, wanaume wachafu hivyo, je huku unadhani mashuka yao yatakuaje?

Nguo za ndani je? Jamani wanaume wenzangu tujitahidi usafi, uchafu sio uanaume.👇

Screenshot_20220503-102749.png
 
Wazungu wachafu Sana,

mtu ambae anaona kastaarabika sana kuchamba kinyesi kwa karatasi (tissue) badala ya maji.

Unamshangaaje Sasa anapokaa miez 4 Bila kufua mashuka.

Usikute huo nao Ni ustaarabu ulaya,
Huku afrika labda ndio ushamba wetu tu
 
Wanaume wamejiwekea kwamba ukiwa mchafu ndo uanaume, wengne hawafui boxer na wanajisfu. Wengne kwa week wanaoga mara 2 na wanajiona n wajanja.

Lkn pia kati ya hao kuna wanaojitambua na kujua usaf n kwa kila mwanadamu, n wasaf mnoo. Usafi n wajibu wa kila mmoja wetu, hii ianzie majumban wazaz wawafunze watoto zao wajinsia zote usaf wa vyumban na mazngira yanayowazunguka na usaf wa miili yao pia.

Mama una wajibu wa kuwafundsha usaf bila kujali jinsia, samak mkunje angali mbichi akikauka hakunjiki.

Weng wa wanaume wachafu ukiangalia malez yao yanashda pahali, mtu hata chombo alicholia kwake n taabu kuosha maana amezoeshwa kufanyiwa kila kitu.
 
Kwa hiyo kwakuwa nusu ya wanaume wa kizungu hawafau mashuka basi ukaona huku kwetu itakuwa maradufu!?

Mbona mnawakweza sana hao wazungu.

Bali kinyume chake ilibidi tuwashangae yaani wao pamoja na wanatumia mashine lakini bado wachafu!!!!
 
Wale wanaotembea na mashuka huwa unawaonaje? Watu wananuka afu unaongea nini?
 
Wanaume wamejiwekea kwamba ukiwa mchafu ndo uanaume, wengne hawafui boxer na wanajisfu. Wengne kwa week wanaoga mara 2 na wanajiona n wajanja.

Lkn pia kati ya hao kuna wanaojitambua na kujua usaf n kwa kila mwanadamu, n wasaf mnoo. Usafi n wajibu wa kila mmoja wetu, hii ianzie majumban wazaz wawafunze watoto zao wajinsia zote usaf wa vyumban na mazngira yanayowazunguka na usaf wa miili yao pia.

Mama una wajibu wa kuwafundsha usaf bila kujali jinsia, samak mkunje angali mbichi akikauka hakunjiki.

Weng wa wanaume wachafu ukiangalia malez yao yanashda pahali, mtu hata chombo alicholia kwake n taabu kuosha maana amezoeshwa kufanyiwa kila kitu.
Ndiyo
 
Hao kundi la kwanza wajue huko n kupungikiwa akili,dunia ya leo unakuwaje mchafu yani!!!!!????[emoji1745]
 
Aki kuna binadamu n wachafuu, nmeshuhudia watu hao. Mwanaume boxer anayo moja tu n kuirudia tuu, mdgo wangu alianza hiyo tabia nlimnyoosha.

Sasa hv ana boxer zaid ya 10 na anazngatia usafi, maana nlimuambia usafi n wa kila mtu s wa watt wakike tuu.
 
Hapo mashuka, Je pazia likishatundikwa si ndio imetoka hiyo.😂
 
Huko ni Ulaya,wanaume wachafu hivyo,je huku Kwa Masai,wasukuma nk unadhani mashuka yao yatakuaje?

Nguo za ndani je? Jamani wanaume wenzangu tujitahidi usafi,uchafu sio uanaume.👇

View attachment 2209863

Huko kwao ni baridi ni tofauti na huku kwetu ambapo ni joto, inakupasa ufue shuka inayochafuka hasa kwa jasho, vumbi nk.

Ulaya ni Ulaya na Africa ni Africa, hali zetu za hewa ni tofauti.
 
Huko ni Ulaya,wanaume wachafu hivyo,je huku Kwa Masai,wasukuma nk unadhani mashuka yao yatakuaje?

Nguo za ndani je? Jamani wanaume wenzangu tujitahidi usafi,uchafu sio uanaume.[emoji116]

View attachment 2209863
Sisi tuko tropical climate Kuna joto
Namna ya maisha ya huku ni tofauti sana na ukanda wa baridi Ile ya barafu
Maeneo ya baridi unaweza kukata siku 3 Bila kupiga maji na usinuke ,hakuna jasho
Kinachotoka mwilini ni mkojo tu[emoji1787]
Ukiwa maeneo ya Tukuyu ndo waweza elewa Kwanini hawafui

Ukileta huo utamaduni Daslam utanuka sana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom