The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Unaingia kama kibandaHata mimi huwa sifui. Kama wife hayupo sifui wala siondoi net. Nikirudi zangu napiga usingizi tu.
Ila kwenye kufua net hapo tupo wengiHata mimi huwa sifui. Kama wife hayupo sifui wala siondoi net. Nikirudi zangu napiga usingizi tu.
Wale wanaotembea na mashuka huwa unawaonaje? Watu wananuka afu unaongea nini?Kwa hiyo kwakuwa nusu ya wanaume wa kizungu hawafau mashuka basi ukaona huku kwetu itakuwa maradufu!?
Mbona mnawakweza sana hao wazungu.
Bali kinyume chake ilibidi tuwashangae yaani wao pamoja na wanatumia mashine lakini bado wachafu!!!!
NdiyoWanaume wamejiwekea kwamba ukiwa mchafu ndo uanaume, wengne hawafui boxer na wanajisfu. Wengne kwa week wanaoga mara 2 na wanajiona n wajanja.
Lkn pia kati ya hao kuna wanaojitambua na kujua usaf n kwa kila mwanadamu, n wasaf mnoo. Usafi n wajibu wa kila mmoja wetu, hii ianzie majumban wazaz wawafunze watoto zao wajinsia zote usaf wa vyumban na mazngira yanayowazunguka na usaf wa miili yao pia.
Mama una wajibu wa kuwafundsha usaf bila kujali jinsia, samak mkunje angali mbichi akikauka hakunjiki.
Weng wa wanaume wachafu ukiangalia malez yao yanashda pahali, mtu hata chombo alicholia kwake n taabu kuosha maana amezoeshwa kufanyiwa kila kitu.
Hao kundi la kwanza wajue huko n kupungikiwa akili,dunia ya leo unakuwaje mchafu yani!!!!!????[emoji1745]Wanaume wamejiwekea kwamba ukiwa mchafu ndo uanaume, wengne hawafui boxer na wanajisfu. Wengne kwa week wanaoga mara 2 na wanajiona n wajanja.
Lkn pia kati ya hao kuna wanaojitambua na kujua usaf n kwa kila mwanadamu, n wasaf mnoo. Usafi n wajibu wa kila mmoja wetu, hii ianzie majumban wazaz wawafunze watoto zao wajinsia zote usaf wa vyumban na mazngira yanayowazunguka na usaf wa miili yao pia.
Mama una wajibu wa kuwafundsha usaf bila kujali jinsia, samak mkunje angali mbichi akikauka hakunjiki.
Weng wa wanaume wachafu ukiangalia malez yao yanashda pahali, mtu hata chombo alicholia kwake n taabu kuosha maana amezoeshwa kufanyiwa kila kitu.
Aki kuna binadamu n wachafuu, nmeshuhudia watu hao. Mwanaume boxer anayo moja tu n kuirudia tuu, mdgo wangu alianza hiyo tabia nlimnyoosha.Hao kundi la kwanza wajue huko n kupungikiwa akili,dunia ya leo unakuwaje mchafu yani!!!!!????[emoji1745]
Huko ni Ulaya,wanaume wachafu hivyo,je huku Kwa Masai,wasukuma nk unadhani mashuka yao yatakuaje?
Nguo za ndani je? Jamani wanaume wenzangu tujitahidi usafi,uchafu sio uanaume.👇
View attachment 2209863
Sisi tuko tropical climate Kuna jotoHuko ni Ulaya,wanaume wachafu hivyo,je huku Kwa Masai,wasukuma nk unadhani mashuka yao yatakuaje?
Nguo za ndani je? Jamani wanaume wenzangu tujitahidi usafi,uchafu sio uanaume.[emoji116]
View attachment 2209863
Ovyo🤣🤣🤣ukiumwa mafua ndo unafuaEbu acheni mambo ya ajabu....
Huku kwetu tunafua shuka mara 4 kwa mwaka, na boxer tunafua mara moja kila wiki..😊 hivi mwanaume unafuaje kila wakati bana....😕
Mkuu... kwani wapi wameandika usipo fua unaumwa mafua..??🤨Ovyo🤣🤣🤣ukiumwa mafua ndo unafua
Unaumwa automatic 🤣🤣ushuzi ule unajamba ukiwa ndotoniMkuu... kwani wapi wameandika usipo fua unaumwa mafua..??🤨