Nusu ya watu wa Gaza wanakufa kwa njaa na kiu.Nchi za kiarabu zinasubiri ruhusa ya nani kuwaokoa ?

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa na mashirika mengine ya misaada wamekuwa ni wenye huruma zaidi kwa kutoa tahadhari ya vifo vinavyoendelea Gaza kutokana na njaa na kiu.
Huruma zao zimekuwa ni kinyume na majriani na ndugu wa karibu wa wapalestina ambao wamepakana nao na ambao wanaangalia wakisubiri ruhusa ili wapeleke misaada.
Haijapata kutokea ukatili na uzembe wa aina hiyo kufanywa na binadamu.
 
Nani anataka kumuuzi bwana mkubwa,hakuna mtu anayetaka kuona miji yake ikigeuzwa vifusi,lazima upime kina cha maji ndipo uvuke kama ukiona kina ni kirefu unatulia na kutafuta namna nyingine,nadhani umeelewa ndio mana tulisema hamas walikurupuka ndio mana gaza imegeuka kifusi.
 
Ila wewe mvaa kobaz unafurahisha sana, ni tofauti na wengine humu, mara usifie HAMAS na waarabu, mara uwaponde Waarabu.
Usichokijua kwa sasa Waarabu wanafurahi kimya kimya kuona HAMAS inafutwa, maana ukifuata historia utaona jinsi Wapalestina wamekua kero kwa mataifa majirani.
Kwa sasa hata Iran, kubwa la magaidi ya dini limeufyata, lilitoa mikwara kwamba litafanya kitu siku Israel ikipita mstari, aisei Israel wamepita mistari yote mpaka mimi hapa shabiki wa Israel nimeanza kujikuta nawachukia kwa ukatili wao.
 
Vipi hali ipoje Ukraine ?
 
Hilo ni somo kubwa sana kwa waislam wengine wajingawajinga wanao amini waislam dunia nzima ni wamoja na wanadanganyana eti muislam ndugu yake ni muislam.
Lakini swali linakuja Kama waislam wameshindwa kusaidiana kwenye njaa je wanaweza kukubali kufa kwaajili ya waislam wenzao.
 
Nani anataka kumuuzi bwana mkubwa,hakuna mtu anayetaka kuona miji yake ikigeuzwa vifusi,lazima upime kina cha maji ndipo uvuke kama ukiona kina ni kirefu unatulia na kutafuta namna nyingine,nadhani umeelewa ndio mana tulisema hamas walikurupuka ndio mana gaza imegeuka kifusi.
Hicho kina mbona,Hizubullah, Houth na Hamas wanakivuka kwa miguu
Wenye meli wanaogopa nini kuvuka.
 
Huwa mnaanza majigambo kidogo kidogo and then mnakuja kulia lia kuwa mnaonewa... Israel kesha sema mzozo wa Yemen anauachia umoja wa Mataifa waumalize na wakishindwa ataanza yeye kuumaliza na hakuna wa kumstopisha.. tafuta pop corn ushuhudie
 
Tumia akili yako vyema kuona kuwa hivyo vitisho Israel hawawezi kuvitekeleza.
Dunia imebadilika sana.Mwaka 2023 sio mwaka 1948.967,1973 na 2015.
Israel akitia gia ya kwenda mbele chombo kinarudi kinyumenyume.
 
Back
Top Bottom