Katibu mkuu wa umoja wa mataifa na mashirika mengine ya misaada wamekuwa ni wenye huruma zaidi kwa kutoa tahadhari ya vifo vinavyoendelea Gaza kutokana na njaa na kiu.
Huruma zao zimekuwa ni kinyume na majriani na ndugu wa karibu wa wapalestina ambao wamepakana nao na ambao wanaangalia wakisubiri ruhusa ili wapeleke misaada.
Haijapata kutokea ukatili na uzembe wa aina hiyo kufanywa na binadamu.
Vipi hali ipoje Ukraine ?Ila wewe mvaa kobaz unafurahisha sana, ni tofauti na wengine humu, mara usifie HAMAS na waarabu, mara uwaponde Waarabu.
Usichokijua kwa sasa Waarabu wanafurahi kimya kimya kuona HAMAS inafutwa, maana ukifuata historia utaona jinsi Wapalestina wamekua kero kwa mataifa majirani.
Kwa sasa hata Iran, kubwa la magaidi ya dini limeufyata, lilitoa mikwara kwamba litafanya kitu siku Israel ikipita mstari, aisei Israel wamepita mistari yote mpaka mimi hapa shabiki wa Israel nimeanza kujikuta nawachukia kwa ukatili wao.
Vipi hali ipoje Ukraine ?
Hicho kina mbona,Hizubullah, Houth na Hamas wanakivuka kwa miguuNani anataka kumuuzi bwana mkubwa,hakuna mtu anayetaka kuona miji yake ikigeuzwa vifusi,lazima upime kina cha maji ndipo uvuke kama ukiona kina ni kirefu unatulia na kutafuta namna nyingine,nadhani umeelewa ndio mana tulisema hamas walikurupuka ndio mana gaza imegeuka kifusi.
Huwa mnaanza majigambo kidogo kidogo and then mnakuja kulia lia kuwa mnaonewa... Israel kesha sema mzozo wa Yemen anauachia umoja wa Mataifa waumalize na wakishindwa ataanza yeye kuumaliza na hakuna wa kumstopisha.. tafuta pop corn ushuhudieHicho kina mbona,Hizubullah, Houth na Hamas wanakivuka kwa miguu
Wenye meli wanaogopa nini kuvuka.
Tumia akili yako vyema kuona kuwa hivyo vitisho Israel hawawezi kuvitekeleza.Huwa mnaanza majigambo kidogo kidogo and then mnakuja kulia lia kuwa mnaonewa... Israel kesha sema mzozo wa Yemen anauachia umoja wa Mataifa waumalize na wakishindwa ataanza yeye kuumaliza na hakuna wa kumstopisha.. tafuta pop corn ushuhudie