Nusura Alere Determiner Iniue

naomba kujuzwa hiyo A.D ndo nn? Mimi kutolewa damu spitali hata ya malaria ni mbinde, kujitoa mwenyewe uliwezaje?
 
A D ni kipimo cha HIV mkuu, kuhusu damu kuna kisindano walinipa nimejichoma kidogo kidoleni damu ikatoka nikaweka kwenye kipimo kisha nikanyunyizia maji ya dawa niliyopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…