Nusuru ndoa yangu

Inawezekana
1. Umeoa fukara na sasa kapata uhuru wa kifedha.

2. Umeoa mjinga na sasa kapata pesa ndio wauona ujinga wake.

3. Ulikuwa unamnyanyasa wakati hana pesa, na sasa kapata pesa ni muda wa kulipiza kisasi.

Hitimisho, katika yote hayo juu umeoa mwanamke asiyekuheshimu/asiyekutii...
 
Fursa uliyonayo kwa sasa ni kuvunja hiyo ndoa. Ukiipoteza hii fursa, subiri maajabu mengi yajayo.
Ndoa ni utapeli uliohalalishwa. Usingekuwa na hiyo ndoa wala usingekuja kulia lia humu. Ndoa ni upumbavu sana.
NB: Unawajibika kwa watoto wako tu! kama kweli ni watoto wako.
 
Ule sana kaka, ila pia niseme tu kwamba ulikosea tangu mwanzo, ulivyomfungulia hiyo ofisi ulimuachia majukumu yote ya kiofisi yawe juu yake kwahiyo hii imefanya ajisahau na ahisi ni biashara yake peke yake. So hiyo mistake sijui unawezaje kuirekebisha tena coz ulitakiwa kila siku mpige hesabu wote na uwe unatembelea ofisi mara kwa mara na uoneshe kuijali hiyo sehemu na hii ingemfanya ajue kwamba hiyo biashara ni ya familia sio yake peke yake.

Ukifata huu ushauri umeisha kaka yaani umejipalia makaa ya moto.

Kwa hizo tabia mpya alizo zianzisha ukijishusha tu na kuanza kujikomba komba atajua tayari amesha kumudu na kwa sasa humuambii kitu na yeye ndio masta. Mzee hakuna rangi utaacha kuona.

Na kwa sasa lazima atakua na kakijana kasiko na kazi kanamuda wa kutosha kuichezea mbunye ya mkeo.

La mwisho hakuna mwanamke anae penda mambo yake ya siri yawe hazarani ukisha anza kuona mmeanza kukaa mavikao ya kuongelea mambo yenu ya siri nje we jua tu yajayo yanafurahisha.

Kama bado unamuhitaji fanya juu chini ufilisi hiyo biashara ...
 
Wanaume wa Dar hao.
 

Huyo mke ana makalio makubwa? Hebu tuanzie hapo kwanza maana vijana mnajigamba kuwa mwanamke tako tabia mtavumiliana!!

Ok, kama ushamuelekeza vya kutosha na haelewi!! Muignore, usiongee nae kuhusu duka tena! Usioneshe kuwa concerned na duka tena, akikuambia mambo ya duka kaa kimya!! Tabia zake zinazokukera potezea!!

Kama ulikuwa family man badilisha, tafuta hobby nyingine itakayokuondolea mawazo pengine michezo, mazoezi na nk!! Hiyo ni adhabu kubwa sana kwa mwanamke, usifuatilie mambo yake kabisa! Ila hudumia na hakikisha watoto wanapata huduma direct toka kwako, huyo hakawii kununulia nguo hela ya chakula!

Usitafute mchepuko!! Akigundua huyo kakumaliza wewe!! Na atavunja ndoa kwa kukudhalilisha!!

Hapo tatizo ni; kahisi kwamba amekuwa na umuhimu kwako zaidi ya mwili wake ambao ndio ulikufanya umuoe na sasa unamtegemea sana kiasi akiondoka umeisha! AU amehisi amekuzidi kipato, hawa wake zetu tuishi nao tu akishakuzidi kipato ni viumbe vingine kabisaaa AU amekuwa na mahusiano na mtu anayeonekana kuwa na kipato imara au cheo/nafasi kukubwa kuliko wewe!!

Pole sana bro; uliwazaje ulipopewa cheti halafu ndiyo unaingia ndoani? Umegraduate ndiyo unaingia shule....!
 
Pole sana, Nadhani wewe ndiye umemuheshimisha ili asiwe golikipa fuatilia Kwa karibu hapo dukani inawezekana amekopa Hela kwaajili ya hiyo biashara na hilo utalijua akikosa rejesho
 
Pole sana mkuu ulipata mwanamke akili kitenesi.



Katika moja na mbili Mungu kuwaumba hawa viumbe na kuwafanya wasaidizi i think aliwanyima ujazo wa ubongo.


Shida umesema huna nia ya kuivunja ndoa hvyo kufa na tai shingoni.


"RESPECT IS EVERYTHING IN MARRIAGE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…