Nusuru ndoa yangu

Nusuru ndoa yangu

Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.

Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.

Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.

Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.

Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.

Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.

Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.

Ahsanteni.
Mwanamke ukimfungulia biashara badala afanye biashara anageuka kuwa biashara ! Kuna kidume kitakuwa kimempa mtaji aongezee kwenye biashara ndio maana kakwambia mtaji wako umeisha uliobaki ni wake,
Kuna sehemu utakuwa ulikosea , baada ya kumfungulia biashara Kuna huduma uliacha kutoa akawa anajihudumia, ndio maana unamuona jeuri anakujibu atakavyo,
Uamuzi unao wewe kama kumpiga chini au kuendelea na maumivu, ulipaswa kuendelea kuisikamia hiyo biashara Kwa kujua kinachoingia na kutoka , mapato na MATUMIZI na kuhakikisha mnapanga bajeti pamoja , mwanamke hapaswi kujiamulia bila kukushirikisha
 
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.

Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.

Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.

Ahsanteni.
Bora ugali dagaa kwenye amani, kuliko wali nyama vitani 🎶

View: https://youtu.be/aLPGgCiF9UY?si=VzcOVOhqXs1TkMlK
 
Hiyo ndoa ilishajifia, mkeo hakuheshimu tena, ni kwanini hakuheshimu sababu ni kwamba yupo anaemuheshimu.
Kusubiri abadilike ni kupoteza muda.

NB:SIJAOA.
Kuna mtu anapita na gari Dualis ya mkopo na zawadi dukani na marashi hayo siyo yeye kanunua ni msela tuu,hivyo yeye anachukua pesa ya duka na kulipia chumba cha hotel,hatimae kidudu kinasuguliwa na AC ikiwa inapuliza na room service juu,usiwekeze sana kwa Hawa viumbe wakati wao uliondoka na msaliti mkuu Eva.Ukijifanya unawekeza akipendeza wateja wakimsifu na kumnunulia tunda la apple ,wewe unaonekana wa kusoma.Mzee ogopa nyege za hao watu wakiwa na hasira na wewe,atasuguliwa huku anatukana matusi yote,sugua tesha akija atakula Mafi ya mama yake,sio watu Hawa usione wanatikisa makalio ukaona ni watu wa maana,hata ununue gari muosha kucha anaweza kusugua mbususu mpaka iwake moto,stukeni.Shubamiti hawa
 
Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.

Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.

Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.

Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.

Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.

Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.

Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.

Ahsanteni.
Mke wako ulimbukeni unamsumbua alikua hajawahi kushika pesa sasa biashara uliomfunguliwa kwa nia njema ndo imeleta shida kwenye ndoa naona uifunge tu au utafute mtu umuweke kwenye hiyo biashara mke arudi kukaa nyumbani tu hakuna namna.
 
Mim huwa na swali moja , iv wale wanaoamaini mke mwema hutoka kwa bwana, iv ukipata huyo mke ni kwamba hawezi kuja kukuzingua as kuchepuka ?, mapenzi kuisha?, Ukiyumba kiuchumi au ukipata ajali na ukishindwa kumpa haki yake yaani hawez kukuletea mapicha picha?
Hawa watu wanakubali kuolewa sababu za uchumi na hali ya nature inataka hivyo,lakini ukijichanganya anageuza game
 
Nyie watu tunawaonya humu kwenye nyuzi mbalimbali ila hamuzingatii.
Mwanamke usimkabidhi biashara, mweke kama muuzaji tu.
Sasa ameshaona anaweza kuishi bila wewe.
Mwanamke akiwa na uhakika wa kuweza kuishi bila mwanaume hapo ndoa inakuwa haipo bali mutaishi kimazoea tu.
Hapo vizia upige moto hako la fremu au utumie wahuni wakwapue kila kitu . Then baada ya mwezi mwache huyo nguchiro
 
Usimfungulie biashara mke ambaye hajakulia kwenye ukoo/familia ya kibiashara,kuna jamaa zangu wawili wake zao walifilisi biashara zao za duka. Mke akiwa anatoka K/njaro,Arusha,Pemba,Njombe,hawa biashara wanaweza sababu ni nature yao
Uko nje ya mada.
 
Kuna mtumish mmoja nae alioa , bint alikuja na sketi ta secondary akaaishi na jamaa jamaa kasomesha unesi na uchelehan mwanamke anaacha jamaa akaamua amfungulie genge duka mkaa na maji ya kuuza (home business) mwanamke baada ya muda ni migogoro kuw mwanaume atoe matumiz baadae baada ya jamaa kustaafu mwanamke kadai talaka kala mgao

Hiyo ni changamoto aangalia namna ya kuwa na solution ya kuikabili kwa sasa na BAADAE
 
The kisa hii
Jamaa x mkoa MTwara alifanya hivyo pia baada ya ndoa yake kuona inayumba na chanzo ni biashara akaend kwa mganga kuloga ili biashara ife .🙂😶
 
Huyo hakuwahi kushika hela,sasa umeanza kushika hela amekua limbukeni, wewe huna maana,Njia pekee ni kufunga hilo duka kwanza,au tafuta mtu alisimamie ili arudi kua totally dependant kwako (urudi kwenye default setting), Najua atabisha itakua ugomvi maana ataona uhuru wake ukuu wake utapotea lakini shikiria hapo hapo
 
Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.

Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.

Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.

Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.

Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.

Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.

Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.

Ahsanteni.
Ulikosea sana kumfungulia duka Kwa maneno batili eti tusaidiane matumizi...kama umeoa mama wa nyumbani abaki TU home ...
 
Back
Top Bottom