Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
daaah ila wanawake 🙌🏾Anafungaje duka ambalo mtaji wake ulisha kwisha, mtaji uliopo sasa hivi ni mtaji wa Wadhamini, hana chake hapo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaah ila wanawake 🙌🏾Anafungaje duka ambalo mtaji wake ulisha kwisha, mtaji uliopo sasa hivi ni mtaji wa Wadhamini, hana chake hapo!!
Wanataka roho zenuhata sijui kwa kwel, ila nashindwaga kuelewa wanawake wengi huwa wanataka nn.
Mwanamke ukimfungulia biashara badala afanye biashara anageuka kuwa biashara ! Kuna kidume kitakuwa kimempa mtaji aongezee kwenye biashara ndio maana kakwambia mtaji wako umeisha uliobaki ni wake,Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.
Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.
Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.
Bora ugali dagaa kwenye amani, kuliko wali nyama vitani 🎶Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.
Kuna mtu anapita na gari Dualis ya mkopo na zawadi dukani na marashi hayo siyo yeye kanunua ni msela tuu,hivyo yeye anachukua pesa ya duka na kulipia chumba cha hotel,hatimae kidudu kinasuguliwa na AC ikiwa inapuliza na room service juu,usiwekeze sana kwa Hawa viumbe wakati wao uliondoka na msaliti mkuu Eva.Ukijifanya unawekeza akipendeza wateja wakimsifu na kumnunulia tunda la apple ,wewe unaonekana wa kusoma.Mzee ogopa nyege za hao watu wakiwa na hasira na wewe,atasuguliwa huku anatukana matusi yote,sugua tesha akija atakula Mafi ya mama yake,sio watu Hawa usione wanatikisa makalio ukaona ni watu wa maana,hata ununue gari muosha kucha anaweza kusugua mbususu mpaka iwake moto,stukeni.Shubamiti hawaHiyo ndoa ilishajifia, mkeo hakuheshimu tena, ni kwanini hakuheshimu sababu ni kwamba yupo anaemuheshimu.
Kusubiri abadilike ni kupoteza muda.
NB:SIJAOA.
Ni kweli, ndg zake hasa mama na dada zake wanaamini Mimi ndiye mwenye matatizo ila kaka zake wanapingana naye vikalina ubaya ndugu wamelishwa sumu tayari,,ila atakuja kulia vibaya uyo mwanamke
Mke wako ulimbukeni unamsumbua alikua hajawahi kushika pesa sasa biashara uliomfunguliwa kwa nia njema ndo imeleta shida kwenye ndoa naona uifunge tu au utafute mtu umuweke kwenye hiyo biashara mke arudi kukaa nyumbani tu hakuna namna.Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.
Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.
Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.
Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.
Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.
Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.
Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.
Ahsanteni.
Hawa watu wanakubali kuolewa sababu za uchumi na hali ya nature inataka hivyo,lakini ukijichanganya anageuza gameMim huwa na swali moja , iv wale wanaoamaini mke mwema hutoka kwa bwana, iv ukipata huyo mke ni kwamba hawezi kuja kukuzingua as kuchepuka ?, mapenzi kuisha?, Ukiyumba kiuchumi au ukipata ajali na ukishindwa kumpa haki yake yaani hawez kukuletea mapicha picha?
Dadeki,kwamba wasela wanakula #2Mle tigo..atabadilika
Mwalimu wake kipofu tena alishakufakuna mteja kamdanganya atamuongezea mtaji
Uko nje ya mada.Usimfungulie biashara mke ambaye hajakulia kwenye ukoo/familia ya kibiashara,kuna jamaa zangu wawili wake zao walifilisi biashara zao za duka. Mke akiwa anatoka K/njaro,Arusha,Pemba,Njombe,hawa biashara wanaweza sababu ni nature yao
niAnachoweza kumuamulia kwa sasa kwa hali inayoendelea ni kimoja tu
Ulikosea sana kumfungulia duka Kwa maneno batili eti tusaidiane matumizi...kama umeoa mama wa nyumbani abaki TU home ...Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.