Nusuru ndoa yangu

Nusuru ndoa yangu

Ni makosa kumfungulia biashara mwanamke ambe hujui kama anaimudu na kuipenda au lah..

Kwa mimi naonaga ni kheri, ufungue biashara iwe ya familia. Isiwe yake, mkaguzi mkuu wa hesabu uwe wewe, ikiwezekana mzigo agiza wewe, siku mojamoja kaa nae hapo dukani au weekend kaa mwenyewe.

Nina ndgu yangu nae, duka kidogo limfilisi kisa ni kumuachia kila kitu mke. Mwisho wa siku akaingia front mwenyewe, kila baada ya siku kadhaa anakagua hesabu na kukagua stock, japo mke ndo analihudumia duka ila jamaa nae anakgua ukaguzi mkali kila mara, pesa haitumiki hovyo.

Ukiendekeza unyonge, duka litafungwa na kuanzia watoto hadi ndgu wa pande zote wataamini mkeo kafilisi duka ila sio kwa matakwa yake bali wewe umetelekeza familia. Midomo ya wanawake ina nguvu sana aisee, dhibiti hilo kwa kukagua biashara yenu.
 
Mimi ni muajiriwa katika sekta ya umma mke wangu sio mwajiriwa yaani ni mama wa nyumbani. Tuko kwenye ndoa ya kikristo kwa miaka 14 na tumejaaliwa watoto.

Ili kupunguza ukali wa maisha na kuondoa utegemezi kwa mambo madogo madogo, niliamua kufungua kibanda cha duka na kumkabidhi mke wangu ili kisaidie kwa baadhi ya mahitaji muhimu ya nyumbani huku Mimi nikitumia sehemu ya mshahara kuwekeza kwenye maeneo mengine ya maendeleo.

Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu nimfungulie mke wangu biashara lakini jambo la kusikitisha ni kuwa sioni tena faida ya kibanda kile maana mke wangu anabadilisha aina za nguo na marashi huku nikimuuliza anadai kuwa ananiheshimisha kwa watu. Pia ananitangaza kwa ndg na jamaa zake kuwa sitoi matumizi yeye ndiye anayetoa matumizi.

Tumekaa vikao kadha wa kadha tukihusisha ndg zetu lakini haonekani kubadilika na kikao cha mwisho alitamka kuwa mtaji wangu umeishahivyo uliomo ni wa kwake.

Hali hii imesababisha migogoro ya mara kwa mara na sioni tena raha ya ndoa.

Pia hali hii imenijengea tabia ya kumchukia mke wangu mara kwa mara ninashikwa na hasira hata bila sababu ya msingi japo kiukweli Sina nia ya kuvunja ndoa yangu bali ninahitaji mke abadili tabia.

Ninaomba ushauri ili kunusuru ndoa yangu.

Ahsanteni.
Pole sana kaka, ila pia niseme tu kwamba ulikosea tangu mwanzo, ulivyomfungulia hiyo ofisi ulimuachia majukumu yote ya kiofisi yawe juu yake kwahiyo hii imefanya ajisahau na ahisi ni biashara yake peke yake. So hiyo mistake sijui unawezaje kuirekebisha tena coz ulitakiwa kila siku mpige hesabu wote na uwe unatembelea ofisi mara kwa mara na uoneshe kuijali hiyo sehemu na hii ingemfanya ajue kwamba hiyo biashara ni ya familia sio yake peke yake.

Kingine inaonekana mkeo hajawahi kushika pesa nyingi kwenye maisha yake so kutokana na hiyo hali ilifanya asiwe na uhuru wa kifedha kupelekea kutokuyaishi yale maisha ya ndoto yake. Kwahiyo hivyo vyote unavyoviona anafanya sasa hivi ujue ndio vitu ambavyo anavipenda na ndio vipo kwenye damu yake so ni vile tu wewe umechelewa kumjua mapema kwasababu hakuwa na pesa na wewe uliyokua unamuachia ilikua nje ya budget zake.

Kwahiyo sio kwamba ndoa yako iko matatani ila ni kwamba mkeo anaishi uhalisia wa maisha yake na amekua huru zaidi kwa namna ile ambayo wewe haukuizoea kwenye miaka 12 or 13 iliyopita.

Mkeo yuko na financial freedom now so kama ulizoea kumpangia majukumu na kufuata hizo orders zako now hafanyi coz ako na uhuru wa kifedha na anauwezo wa kujiamulia kwasababu haumbabaishi tena.

Ushauri wangu kwako ni unaweza kufanya jambo moja kati ya haya mawili, moja ni ufanye namna umfilisi ili arudi tena kuwa mama wa nyumbani na ale msoto miezi kadhaa then ndio umfungulie tena ofisi na mara hii make sure wewe ndio unakua the main player kwenye hiyo ofisi utakayo ifungua.

Mbili, ishi kwa namna anavyotaka yeye yaani uyakubali hayo mabadiliko ya mkeo na uyazoee but uendelee kuplay part yako as a man na baba wa familia huku ukijitahidi kumfanya mkeo awe rafiki yako, kama ni out umtoe coz skuizi anapendeza na kunukia usipomtoa wewe watamtoa wenzio na nguo nzuri mnunulie pamoja na hizo manukato anazopenda, najua itakua ngumu ila ndani ya miezi mitatu utaona furaha ya ndoa yako tena.

NB: Vijana ambao hamjaoa make sure mnaoa wanawake ambao wamezoea kushika pesa na wako stable financial or their mindset kwenye pesa imetulia.
 
Mpaka kifo kiwatenganishe
 
Mim huwa na swali moja , iv wale wanaoamaini mke mwema hutoka kwa bwana, iv ukipata huyo mke ni kwamba hawezi kuja kukuzingua as kuchepuka ?, mapenzi kuisha?, Ukiyumba kiuchumi au ukipata ajali na ukishindwa kumpa haki yake yaani hawez kukuletea mapicha picha?
 
Wapo wanawake wema seema nyie si mnaangalia tako
 
Pole sana kaka, ila pia niseme tu kwamba ulikosea tangu mwanzo, ulivyomfungulia hiyo ofisi ulimuachia majukumu yote ya kiofisi yawe juu yake kwahiyo hii imefanya ajisahau na ahisi ni biashara yake peke yake. So hiyo mistake sijui unawezaje kuirekebisha tena coz ulitakiwa kila siku mpige hesabu wote na uwe unatembelea ofisi mara kwa mara na uoneshe kuijali hiyo sehemu na hii ingemfanya ajue kwamba hiyo biashara ni ya familia sio yake peke yake.

Kingine inaonekana mkeo hajawahi kushika pesa nyingi kwenye maisha yake so kutokana na hiyo hali ilifanya asiwe na uhuru wa kifedha kupelekea kutokuyaishi yale maisha ya ndoto yake. Kwahiyo hivyo vyote unavyoviona anafanya sasa hivi ujue ndio vitu ambavyo anavipenda na ndio vipo kwenye damu yake so ni vile tu wewe umechelewa kumjua mapema kwasababu hakuwa na pesa na wewe uliyokua unamuachia ilikua nje ya budget zake.

Kwahiyo sio kwamba ndoa yako iko matatani ila ni kwamba mkeo anaishi uhalisia wa maisha yake na amekua huru zaidi kwa namna ile ambayo wewe haukuizoea kwenye miaka 12 or 13 iliyopita.

Mkeo yuko na financial freedom now so kama ulizoea kumpangia majukumu na kufuata hizo orders zako now hafanyi coz ako na uhuru wa kifedha na anauwezo wa kujiamulia kwasababu haumbabaishi tena.

Ushauri wangu kwako ni unaweza kufanya jambo moja kati ya haya mawili, moja ni ufanye namna umfilisi ili arudi tena kuwa mama wa nyumbani na ale msoto miezi kadhaa then ndio umfungulie tena ofisi na mara hii make sure wewe ndio unakua the main player kwenye hiyo ofisi utakayo ifungua.

Mbili, ishi kwa namna anavyotaka yeye yaani uyakubali hayo mabadiliko ya mkeo na uyazoee but uendelee kuplay part yako as a man na baba wa familia huku ukijitahidi kumfanya mkeo awe rafiki yako, kama ni out umtoe coz skuizi anapendeza na kunukia usipomtoa wewe watamtoa wenzio na nguo nzuri mnunulie pamoja na hizo manukato anazopenda, najua itakua ngumu ila ndani ya miezi mitatu utaona furaha ya ndoa yako tena.

NB: Vijana ambao hamjaoa make sure mnaoa wanawake ambao wamezoea kushika pesa na wako stable financial or their mindset kwenye pesa imetulia.
Kesho kuanzia breakfast mpaka dinner ni juu yangu....umemaliza
 
Back
Top Bottom