ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
- Thread starter
- #21
Na wewe Zitto kabla hujaanza kuropoka kuutamani urasi kwanza anza kujibu maswali unayoulizwa. Kwenye mchakato wa kuutaka urais kuna maswali mengi hivyo lazima ujiandae kwa kuanza kujibu maswali hapa JF. NUTAS na pesa za wafadhili ziliishia wapi? mbona hamjatimiza jukumu mlilokabidhiwa na wala hamjasema mmelishindwa? kwa nini mmewaacha wanafunzi njia panda? Huu ndio uongozi wanaoutaka watanzania?