Nwanko Kanu yupo E-fm muda huu akifanya mahojiano

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
Mshambuliaji wa kimataifa aliyevuma toka Nigeria na Arsenal yuko live muda huu E FM, interview ikiendeshwa na Kitenge na Maestro.
 
alibeba washabiki wengi Afrika kuishabikia arsenal yaa alikua mchezaji mzuri..
 
nasubiri masaa 72! tuone!~ kelele nyiiingi!

Kabla ya kusubiri haya masaa yangu 72 fuatilia kwa makini sasa hivi nini kinaendelea huko TFF, Serikalini na TAKUKURU ndipo utajua IMPACT ya huu uzi wangu umezaa matunda. Usikae mbali na vyombo vya habari kwani kuna BREAKING NEWS kama tatu ( 3 ). au nikudokezee tu hata moja wapo ili ufaidike? Kitambi kitamkauka chote huyo Bwana wako wa TFF anayekuweka hapa down town.
 
Nilichojifunza kwenye Interview ya Nwanko Kanu pale Efm ni kwamba Kitenge na Kiingereza ni sawa na Mbingu na Ardhi. Yaani mbalimbali kabisa. Sebbo kaokoa jahazi leo.
kitenge alipata division 0 form six mwaka 1999 nikashangaa kumsikia radio one.leo kajikanyagakanyaga sana
 
Nilichojifunza kwenye Interview ya Nwanko Kanu pale Efm ni kwamba Kitenge na Kiingereza ni sawa na Mbingu na Ardhi. Yaani mbalimbali kabisa. Sebbo kaokoa jahazi leo.
Kitenge kajifanya kuanza kumuhoji Kanu, sentence moja tu imemshinda kuinyoosha.
Kweli Sebbo kaokoa Jahazi.
 
...kwani kiingereza si kinafundishwa kwa ras simba,miezi mitatu tu,unachonga na Obama!
thubutuu ile luga ya malikia imekuja na meli ipewe heshima yake,eti swali la kwanza what do we expect from you,kukariri kubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…