Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni balozi wa startimes
nasubiri masaa 72! tuone!~ kelele nyiiingi!
Hahah kama namuona Shaffih alivyokua ana mnanga!Nilichojifunza kwenye Interview ya Nwanko Kanu pale Efm ni kwamba Kitenge na Kiingereza ni sawa na Mbingu na Ardhi. Yaani mbalimbali kabisa. Sebbo kaokoa jahazi leo.
kitenge alipata division 0 form six mwaka 1999 nikashangaa kumsikia radio one.leo kajikanyagakanyaga sanaNilichojifunza kwenye Interview ya Nwanko Kanu pale Efm ni kwamba Kitenge na Kiingereza ni sawa na Mbingu na Ardhi. Yaani mbalimbali kabisa. Sebbo kaokoa jahazi leo.
...kwani kiingereza si kinafundishwa kwa ras simba,miezi mitatu tu,unachonga na Obama!kitenge alipata division 0 form six mwaka 1999 nikashangaa kumsikia radio one.leo kajikanyagakanyaga sana
Kitenge kajifanya kuanza kumuhoji Kanu, sentence moja tu imemshinda kuinyoosha.Nilichojifunza kwenye Interview ya Nwanko Kanu pale Efm ni kwamba Kitenge na Kiingereza ni sawa na Mbingu na Ardhi. Yaani mbalimbali kabisa. Sebbo kaokoa jahazi leo.
thubutuu ile luga ya malikia imekuja na meli ipewe heshima yake,eti swali la kwanza what do we expect from you,kukariri kubaya...kwani kiingereza si kinafundishwa kwa ras simba,miezi mitatu tu,unachonga na Obama!
Mjomba mambo mengine hayana ubishiNilichojifunza kwenye Interview ya Nwanko Kanu pale Efm ni kwamba Kitenge na Kiingereza ni sawa na Mbingu na Ardhi. Yaani mbalimbali kabisa. Sebbo kaokoa jahazi leo.
Ilikuwa mtafutano leoKitenge kajifanya kuanza kumuhoji Kanu, sentence moja tu imemshinda kuinyoosha.
Kweli Sebbo kaokoa Jahazi.
Mkuu inaonekana hata Kitenge kapata mafunzo ya Utangazaji hapa na pale (kuungaunga)?Ilikuwa mtafutano leo
Nilichojifunza kwenye Interview ya Nwanko Kanu pale Efm ni kwamba Kitenge na Kiingereza ni sawa na Mbingu na Ardhi. Yaani mbalimbali kabisa. Sebbo kaokoa jahazi leo.
Hapana chezea kidhungu!!!!!!kitenge alipata division 0 form six mwaka 1999 nikashangaa kumsikia radio one.leo kajikanyagakanyaga sana