Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 huyu jamaa atakuja kuwa na fedha nyie muoneni Kama mjinga ila hicho ni kipaji na paji lake la uso laonyesha mengi..!
Nimejikuta nacheka tu ,yaani hizi muvi za mbele tuwe tunaziangalia kama masomo sio kuangalia bongo movie na ngumi za kompyuta na uniform za migambo [emoji3][emoji3]Angekuwa alishawah kufatilia muvi za kipelelez na kufatilia matukio ya wizi ambayo yalishawah kutokea huko kwa wenzetu miaka mingi iliyopita asingekuwa na akili fupi hivi
Sasa ndio Ashambulie gorini kwake?Life gumu, ukicheki kila siku wewe ni kuokoa michomo tuu, hamna siku unashambulia,
MtakomaMwizi huyo🙏sura yenyewe inaonyesha anatoka familia duni,afu anajiteka ujinga🤔hakuna daktari hapo manake atakuja choma wagonjwa sindano za sumu kisa hela
Mambo yakizidi unageuka Maguire tuu,Sasa ndio Ashambulie gorini kwake?
"BAADA YA KUONA POST HII NIMEKUMBUKA MISTARI YA ALBERT MANGWEAR KWENYE SONG YA CCN NA FID Q ULEKennedy Nyangige mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha udaktari Bugando anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujiteka na kisha kutuma meseji kwa wazazi, ndugu na viongozi wake wa chuo akidai ametekwa na inatakiwa milioni 3.5 ili aachiwe.
RPC Mwanza Wilbroad Mutafungwa amesema baada ya kupokea taarifa hizo kutoka kwa Daktari wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Matiko Sirari, jeshi hilo lilianza kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kubaini kijana alijiteka mwenyewe ili apate hiyo hela.
#EastAfricaTV
View attachment 2620431