Nwezaje kuagiza nchini gari bovu kwa ajili ya kukata na kupata spares?

Nwezaje kuagiza nchini gari bovu kwa ajili ya kukata na kupata spares?

DidYouKnow

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
1,229
Reaction score
1,950
Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars.

Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa huku kutanigharimu sana kwenye gharama za kutenganisha na usafiri. Inatakiwa nifanyeje? TRA wanafanyaje kodi kwa salvage cars?

Wazoefu naombeni msaada.
 
0744233333 TRA Maulizo, kwa njia ya Whatsapp tu.

Ila pia wadau wanakuja watachangia
 
Back
Top Bottom