mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Yawezekana aliropoka bila kutafakari, jasho litamtoka!
Mdude ni mjinga zaidi vijana wote wa kitanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana aliropoka bila kutafakari, jasho litamtoka!
Ukweli mtupu!
Mataga wasitutoe kwenye Reli tuna taka katiba mpyaUkweli mtupu!
Katiba mpya siyo mtori bwashee!Mataga wasitutoe kwenye Reli tuna taka katiba mpya
Kwaiyo wewe taga unafikiri hii nchi ni mali yako au ya bibi yako na ccm katiba ni lazima wewe tafuta pakwendaKatiba mpya siyo mtori bwashee!
Maamuzi ya katiba mpya yako mikononi mwa CCM!Kwaiyo wewe taga unafikiri hii nchi ni mali yako au ya bibi yako na ccm katiba ni lazima wewe tafuta pakwenda
jipemo moyo jidanganye ccm nikama mtunza fedha tu, Kwani wewe ukitunza fedha za kikundi zinakuwa zakwako?Maamuzi ya katiba mpya yako mikononi mwa CCM!
Yawezekana aliropoka bila kutafakari, jasho litamtoka!