Nyagali Mdude ana cheo gani hapo Chadema mbona CCM inamtolea "matamko" kila kona?

Mdude ni Mdude kama Mdude yaani Mdude Nyangali AKA Mdude CHADEMA, wasifu na wadhifa wake nadhani wahusika wa CHADEMA wanaweza wakatuelezea.
Kitu kimoja ninachojua kutokana na sequences za matuo yanayomhusu ni fighter mmoja asiyerudi nyuma anapopambania kile anachokiamini, dogo mmoja straight asiyeweka unafiki wala kuremba katika kauli zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…