GE2025 Nyahoza: Fedha walizochangisha CCM sio lazima zitumike kwenye uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Si ajabu uchaguzi ujao akajitosa ubunge kupitia CCM jimbo mojawapo!
 
Naona anawajibia ccm kama mwenezi wa chama. Kazi ipo
 
Stupid, stupid, stupid. Kumbe wewe mpuuzi, unawatetea CCM. Ulaaniwe!

You are not allowed to go outside your pleadings! CCM pleaded in their "plaint" contribution for the election campaign 2025!
 
Kweli haya ni maigizo kama mengine.
Pesa inatoka mkono wa kulia unapewa mkono wa kushoto.
Alafu baadae inatoka mkono wa kushoto inarudi mkono wa kulia.
Na mkono wa kulia unajitanabaisha kuungwa mkono.
Kama unafikiri kimantiki waweza kuliona hili.
Tunachezewa sana.
 
Siku zote nilijua mwenye hilo jina wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…