Tubaki na nini?
Ni yeye aliandika hivi zamaniSina hakika kama ni yeye
Ila kama nini yeye basi amejitoa kwelikweli
Mbona haina tarehe? Acha uhuni wa kitoto
ng’ombe hanenepi siku ya mnada, siku nyingine utoe taarifa mapemaMHUBIRI ANASEMA KILA MAJIRA NA NYAKATI ZAKE KUNA WAKATI WA KULIA NA KUCHEKA, KUVUNA NA KUPANDA
YESU KRISTO ANAKUJA LEO UMEJIANDAAJE