Killeville
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 410
- 1,218
sidhani kama mwny pesa hili litampa wakati mgumu,maana kikubwa ni yeye kuridhika tu,unajua kuna wanaume hawanaga hiyo mentality ya cjui kumridhisha demu,wao wanajiangalia wenyewe tu,wakisharizika basi demu atajijua mwenywe.Wakati mgumu ni pale una pesa za kutosha halafu una kiba100
kuna wengine wapo mkuusidhani kama mwny pesa hili litampa wakati mgumu,maana kikubwa ni yeye kuridhika tu,unajua kuna wanaume hawanaga hiyo mentality ya cjui kumridhisha demu,wao wanajiangalia wenyewe tu,wakisharizika basi demu atajijua mwenywe.