Nyakati ngumu

Nyakati ngumu

Killeville

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
410
Reaction score
1,218
Aloo hakuna wakati mgumu kama kupita kwenye barrier ya polisi wakati umebeba illegal materials like some kgs za mmea,sembe,banned drinks, pembe na ngozi za wanyama ambao ni nyara nk.
Aloo hapo maisha huwa magumu sana,unaweza kujibu hata usiloulizwa.

Tupieni cumbersome situations nyingine.
10d190f2d304f9c73811e4551a51982f.jpg
 
hakuna nyakati ngumu kama umeomba chuo ukatemwa kwa mara ya kwanza ukaomba na ya pili pia ukatemwa daah acha tu . miaka fulani nilipitia hizi nyakati ni balaa.
ila Mungu mkubwa alinisaidia
 
magumu hasa uwe sio CCM

utajuta

utajua utendaji wa hawa watu
 
Unapokua unamiliki mademu zaidi ya watatu unajikuta kuna siku wote kila mmoja kwa nafasi yake anakuhitaji. Unashindwa umpe nani umuache yupi na wote wapo joto
 
Wakati mwingine mgumu ni pale tumbo linapokuchafuka,halafu upo ukweni.
 
Wakati mgumu ni pale una pesa za kutosha halafu una kiba100
sidhani kama mwny pesa hili litampa wakati mgumu,maana kikubwa ni yeye kuridhika tu,unajua kuna wanaume hawanaga hiyo mentality ya cjui kumridhisha demu,wao wanajiangalia wenyewe tu,wakisharizika basi demu atajijua mwenywe.
 
Nyakati ngumu ni pale unapoteza passport afu nchi uliyopo haina ubalozi wenu
Nyakati ngumu ni pale unataka kuvuka boda hauna passport afu askari awaelewi lugha unayozungumza....
 
sidhani kama mwny pesa hili litampa wakati mgumu,maana kikubwa ni yeye kuridhika tu,unajua kuna wanaume hawanaga hiyo mentality ya cjui kumridhisha demu,wao wanajiangalia wenyewe tu,wakisharizika basi demu atajijua mwenywe.
kuna wengine wapo mkuu
 
Wakati mgumu ni pale mnakuwa room na mpenz wako mshachezeana romance ya kutosha unataka mvua pichu anauliza wataka kufanya nn...? Hapo ndo utajua kwa nini vichaa wanapata mimba
 
Nyakati ngumu ni pale gegedo linevimba linauma halafu mama to too anazingua eti kachoka
 
Back
Top Bottom