Nyakati za giza nisizotaka zijirudie tena nchi hii

Nyakati za giza nisizotaka zijirudie tena nchi hii

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Sitaki, sitamani na sitarajii kumuona kiongozi yeyote;

(a) Anaharibu mahusiano baina ya nchi yetu na nchi nyingine.

(b) Anaharibu mahusiano baina ya wanachama wa tawala na wale wa vyama vya upinzani.

(c) Anahubiri majukwaani kwamba mkichagua upinzani sitaleta maji.

(d) Anapora fedha za watu.

(e) Anaruhusu utekaji na mauaji ya watu wanaomkosoa.

(f) Anaawabambikizia kesi watu aliowahi kupishana nao kauli.

g) Anawadhalilosha wastaafu wanapotoa ushauri usiompendeza,
n.k.
20221218_224407.jpg
 
Huyu hakua kiongozi lilikua koroni tuliletewa na kikwete kisa kumkomoa ngoyai Ili asiwe raise UJUHA UJUHA UJUHA
 
 nyakati nisizotaka zijirudie
-ufisadi
-kutokuwajibika kwa watumishi kwenye sekta za uma
-kutokuwa nahaki sawa kati ya tajiri na masikini
-kuongezeka kwa deni la taifa huku hatuoni kinachoendelea zaidi ya fix za madarasa
-kupanda kwa gharama za maisha maradufu mfano vyakula🙁mchele wa 1800 mpaka 3000)
- kukatika umeme huku visingizio ikiwa mabadiliko ya hali ya hewa
-
-
-
ni mengi sana ila nasikitika hayo yote yameanza kujirudia
hata sielewi sijui ni kwa sababu gani
 
Ndio maana bado kuna watu hadi leo wanalalamikia sera za Nyerere, kuna watu wengine bado wanaulamu ukoloni hadi leo na wengine wanaona bora tungeendelea kuwa chini ya wakoloni.

Huwa najiuliza kabla ya Magufuli tulikuwa bora kwa kiasi gani?
 
Mie nyakati nisizozitaka ni za umeme wa kisado Yani mnapimiwa kama tanesco ni duka la mangi umeme unakuja kwa vigaloni [emoji23][emoji23].....
 
Back
Top Bottom