nyakati nisizotaka zijirudie
-ufisadi
-kutokuwajibika kwa watumishi kwenye sekta za uma
-kutokuwa nahaki sawa kati ya tajiri na masikini
-kuongezeka kwa deni la taifa huku hatuoni kinachoendelea zaidi ya fix za madarasa
-kupanda kwa gharama za maisha maradufu mfano vyakula🙁mchele wa 1800 mpaka 3000)
- kukatika umeme huku visingizio ikiwa mabadiliko ya hali ya hewa
-
-
-
ni mengi sana ila nasikitika hayo yote yameanza kujirudia
hata sielewi sijui ni kwa sababu gani
Ndio maana bado kuna watu hadi leo wanalalamikia sera za Nyerere, kuna watu wengine bado wanaulamu ukoloni hadi leo na wengine wanaona bora tungeendelea kuwa chini ya wakoloni.
Huwa najiuliza kabla ya Magufuli tulikuwa bora kwa kiasi gani?