Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Wakati wa Awamu ya Nne tulishuhudia masuala ya ajabu sana maana vyombo vya habari vilikuwa vikipotosha umma. Kila alilolifanya mfalme wakati huo lilionekana jema.
Kuna wakati wananchi waliaminishwa kuwa mfalme amelithishwa viatu vya mwalimu Nyerere. Kilichofuata baada ya miaka miwili ni serikali kuvunjika na waziri mkuu kujiuzuru. Ikafuatia na maskendo kibao ya ya ufisadi .
Tumerudi tena zile zama za mfalme kuongoza nchi huku vyombo vya habari vikimsifia na kumpamba kwa kila atalokifanya. Iwe ni baya au zuri.
My take; Wanahabari wa Tanganyika na Zanzibar ni wanafiki wakubwa.