Hii unayosema ilikuwa kanuni ya awamu ya 5..Tumerudi tena zile zama za mfalme kuongoza nchi huku vyombo vya habari vikimsifia na kumpamba kwa kila atalokifanya. Iwe ni baya au zuri.
Wacha uwongo wewe. Awamu ya nne ndiyo kulikuwa na magazeti yenye nguvu kubwa ya kukosoa mifano:-Mawio, Mwanahalisi, Mwananchi, Tanzania Daima.etc. Usipotoshe watoto wanaosoma andiko lako.Wakati wa awamu ya nne tulishuhudia masuala ya ajabu sana maana vyombo vya habari vilikuwa vikipotosha umma. Kila alilolifanya mfalme wakati huo lilionekana jema.