Nyakati za kufanya mapenzi.............Mh!!!


Surely thats the best time to have it with your husband or wife. Mine likes it better at that time.
 
Hivi mapenzi yana muda.Mkijipangia muda mtakuwa hamuenjoy vya kutosha..Msiwe na muda maalumu fanyeni wakati wote mnapojisikia maadamu mazingira yanaruhusu.
 
kwa sababu ya kutokuwa bias, fanyeni hiyo mida ya saa tano, kwani mwenzio kasema huwa anajisikia raha sana, nadhani moja linatosha, na la pili malizieni alfajiri kama wewe unavyopenda ili hata mnapokuwa kazini mnajiskia freeeeeshi wepesiiiiiiiiiiiiiiiii, kazi zinaenda.
 
sasa mnkauwa na katimetable ka hizo siku tatu kwa wiki ama inakuwaje...... mmmm vitanda vina habari,,,,vingeweza kuzungumza tu...dunia ingeisha abruptly!!
...Sio mchezo:dance::biggrin1::dance:
 
haya mambo hayana muda maalum, alfajiri, usiku, mchana and if you love each other mambo yanakuja naturally. lakini kuna wakati mnataka kujivinjari sawasawa u pack the kids kwa ndugu au rafiki au bibi kwa weekend halafu nyumba ni yenu na hata mgeni akija hafunguliwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…