Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
WAAFRIKA wamezaliwa na roho ya ajabu sana, wamezaliwa na roho yakuumizwa na mafanikio yako Hadi kufikia mahali kutumia fedha au madaraka kukukandamiza.
Kitendo cha viongozi wa dini kusimama na kutamka adharani kwamba Mbowe yupo mahabusu kinyume Cha sheria kwa kesi za kubumba kinawaumiza Sana watawala na wanajiona Kama viongozi wa Dini wamekosa nidhamu wakiamini wao wanapaswa kuabudiwa kuliko Mungu wa viongozi wa dini.
Lakini pia Mbowe kuwa gerezani na makundi yote kusimama naye bila yeye kuwashawishi wasimame naye kunawafanya watawala wajione kama wanadharaulika kwenye jamii. Hasa yawezekana kwa chuki zao na kuona Kama huyu Bwana umaarufu umepanda mara dufu wataweka madharti asionekane na watu ila kwa kibali maalumu.
Jana tuliona walizuia si kwa sababu nyingine bali ni kutokana na wanaChadema kuzidi kuamasika kwenda kumwona, tunapokuwa na viongozi wenye roho za akina sabaya ambao pamoja na maovu yao walitetewa na kukumbatiwa na viongozi wa dini lazima tukubali kwamba ukatili wa madaraka ni mkubwa nchini. Wanaotenda haya tukumbuke wanaenda nyumba za ibada na wanajiamini kabisa kwamba Bado muda wao wakutawala Ni mkubwa.
Jiandaeni kisaikologia mtakaposikia hakuna kwenda Magereza kumwona. Na tukumbuke hivyo vibali maalum vitakuwa vinatolewa na serikali ambayo itakuwa imewaelekeza wanaotakiwa kutoa wawasiliane na mamlka za juu.
Ukienda kudai Hali mahakamani unakutana na majaji wa aina ya akina Siyani.
Kiburi Cha madaraka kina utamu wake hasa unapokisujudu ukamsau mtoa uhai.