Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.
Chadema ni taasisi imara na inajengwa na viongozi imara sana hivyo pasina shaka yoyote maamuzi yao huwa sahihi.
Lazaro Nyalandu ndio mkombozi wetu kwa sasa kama chama lakini hatuwezi kubeza nguvu na ushawishi alionao Lissu, ila kwa sasa na kwa uchaguzi huu tunaenda na Nyalandu.
Kwa nini Nyalandu?
- Ana uzoefu wa kutosha sana kwenye serikali
- Ana urafiki na ukaribu mzuri sana na nchi zingine za nje ambapo suala la kidiplomasia linakuwa jepesi sana.
- Ni msikivu, mnyenyekevu na kiongozi mahiri sana. Hana jazba.
Lissu kwa sasa sio mtu sahihi wa kutuvusha hivyo tunamuomba na tunaomba sana amuunge mkono mshika bendera wetu wa urais, bwana Lazaro Nyalandu.
#2020Chadema twende na Nyalandu#