Uchaguzi 2020 Nyalandu anatosha, tutampitisha. Lissu subiri kwanza

Lissu anawapelekesha sana wana Lumumba! Akili kama zimewaruka, full kunena Kwa lugha!
 
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.

Chadema ni taasisi imara na inajengwa na viongozi imara sana hivyo pasina shaka yoyote maamuzi yao huwa sahihi.
Lazaro Nyalandu ndio mkombozi wetu kwa sasa kama chama lakini hatuwezi kubeza nguvu na ushawishi alionao Lissu, ila kwa sasa na kwa uchaguzi huu tunaenda na Nyalandu.

Kwa nini Nyalandu?

- Ana uzoefu wa kutosha sana kwenye serikali
- Ana urafiki na ukaribu mzuri sana na nchi zingine za nje ambapo suala la kidiplomasia linakuwa jepesi sana.
- Ni msikivu, mnyenyekevu na kiongozi mahiri sana. Hana jazba.

Lissu kwa sasa sio mtu sahihi wa kutuvusha hivyo tunamuomba na tunaomba sana amuunge mkono mshika bendera wetu wa urais, bwana Lazaro Nyalandu.

#2020Chadema twende na Nyalandu#
Eti chadema ni taasisi imara inayojengwa na viongozi imara🤣😂🤣!
 
Wewe bujawahi kuwa chadema na hii mada haikuhusu! Hii kwa ajili ya chadema tu
#2020twende na nyalandu#
MTU akikufatilia anakutambua kabisa kuwa wewe ni MTU wa aina gani
Screenshot_20200801-132211.jpg
 
Weee Lumumba hebu tupisheeeh. Tupo na LISSU 2020 - 2025
 
Chadema mkimpitisha Nyalandu mtakuwa mmefeli hata kabla ya uchaguzi kufanyika, mpitishen Lisu ili moto uwake kati ya CCM na CDM tofauti na hapo basi
 
Sababu ya Nyarandu kwenda Chadema ni Lissu .Nyarandu hana ubavu wa kupambabna na Lissu ndani ya Chadema .Yata mkuta ya Bananga kwenye uchaguzi wa jimbo Arusha Mjini
Je kama Lisu na Nyalandu ni wsmoja utasemaje? Je nini maana ya demokrasia na upigaji kura?
Je tunatakiwa kuabudu katika watu au kuamini katika misingi ya vyama vyetu?
 
Nyalandu hana impact, sio mtu maarufu kwa Watanzania kumuweka yeye agombee urais ni sawa na kuhesabu anguko lilokubwa sana kwa upinzani kwa miaka hiyi ya 2020.
 
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.
Endeleeni kusubiri mchakato na maamuzi ya hicho kikao tu
 
Kule kwenye chama chenu fomu inatolewa moja tu kwa ajili ya m'babe moja kisha printer inaharibika.

Huyo Nyalandu kama mmemtuma mtawaka naye safari hii. Huyo huyo ambaye hampendi agombee ndio atapewa kura maanake ndio kiboko wenu, mtamuibia tu kupitia tume yenu.
 
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.

Chadema ni taasisi imara na inajengwa na viongozi imara sana hivyo pasina shaka yoyote maamuzi yao huwa sahihi.
Lazaro Nyalandu ndio mkombozi wetu kwa sasa kama chama lakini hatuwezi kubeza nguvu na ushawishi alionao Lissu, ila kwa sasa na kwa uchaguzi huu tunaenda na Nyalandu.

Kwa nini Nyalandu?

- Ana uzoefu wa kutosha sana kwenye serikali
- Ana urafiki na ukaribu mzuri sana na nchi zingine za nje ambapo suala la kidiplomasia linakuwa jepesi sana.
- Ni msikivu, mnyenyekevu na kiongozi mahiri sana. Hana jazba.

Lissu kwa sasa sio mtu sahihi wa kutuvusha hivyo tunamuomba na tunaomba sana amuunge mkono mshika bendera wetu wa urais, bwana Lazaro Nyalandu.

#2020Chadema twende na Nyalandu#
Hapo hapo ndio utakapoanzia MPASUKO ndani ya CDM. Lissu anautaka ugombea urais na urais wenyewe kwa damu na nyama. Hii ni kutokana na kuaminishwa na wafadhili wake huko Ulaya na washabiki wake (ambao wengi si wapiga kura, kwani hawakuwa hata na muda wa kujiandikisha kama wapiga kura) wachache wanaoshinda vijiweni na kurumbana tu bila mwelekeo wa hoja ila ushabiki na ukereketwa usio na tija when it come to voting and the election in general. Hivyo nawashauri mjipange kisawasawa ili kulinda huo "Umoja" wenu ndani ya CHADEMA vinginevyo mtavunwa na vyama vingine vya siasa.
 
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.

Chadema ni taasisi imara na inajengwa na viongozi imara sana hivyo pasina shaka yoyote maamuzi yao huwa sahihi.
Lazaro Nyalandu ndio mkombozi wetu kwa sasa kama chama lakini hatuwezi kubeza nguvu na ushawishi alionao Lissu, ila kwa sasa na kwa uchaguzi huu tunaenda na Nyalandu.

Kwa nini Nyalandu?

- Ana uzoefu wa kutosha sana kwenye serikali
- Ana urafiki na ukaribu mzuri sana na nchi zingine za nje ambapo suala la kidiplomasia linakuwa jepesi sana.
- Ni msikivu, mnyenyekevu na kiongozi mahiri sana. Hana jazba.

Lissu kwa sasa sio mtu sahihi wa kutuvusha hivyo tunamuomba na tunaomba sana amuunge mkono mshika bendera wetu wa urais, bwana Lazaro Nyalandu.

#2020Chadema twende na Nyalandu#

Kwa mawazo mapana ya kisiasa naunga mkono:
Mh Lissu behaves liku a sadist, na ana atract roughness. Na kama ujuavyo mtoto mbaya akikimbia nyumani kwako na njia ya yeye kutolewe njee ya nyumba yako umuhukumu ikikosekana, baada ya kuhangaika sana atolewe njee na kushindikana unaweza kukuta nyumba inachomwa moto ili kumtoa mtoto tundu ndani.

Fuatilia Law Society of Tanganyika, imeachwa hoi baada ya utawala wa Lissu na Fatma Karume.

Nyumba ni Chadema na hali ya kisiasa ya Chadema ya leo ilivyo Mkulu akifanya shambulizi la kupita kiasi kwa Chadema , chama watakiacha kimedhohofika sana. Ni bora Nyalandu Chama kitaachwa hai kwa kuwa hakutokuwa na shambulizi la kishindo.
Kukimbia vita ni mbinu mojawapo ya katika medani za Kisiasa.

Sheria namba mbili ya THE ART OF WAR FOR VICTORS AGAINST THE VANGUISHED :
Inakutaka unapo fanya shambulizi kuelekea adui yako wa kisiasa, shambulizi lazima liwe pana na zito mnoo umchoshe,achakae na asijitambue na umyamazishe. Kiasi ambacho hawezi kujibu shambulizi hilo kabisa muda huo. Ikitokea akaweza kujibu shambulio basi majibu ya shambulio yawe hafifu na dhaifu mnoo kiasi huwezi kukuumiza kisiasa.

Mfano tuu, kipigo kilitoka kwa Sirro, Ndungai (Ndani na nje ya Bunge), vyombo vya habari, vyombo vya sheria na kimataifa na kwa wapiga kura.
 
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.

Chadema ni taasisi imara na inajengwa na viongozi imara sana hivyo pasina shaka yoyote maamuzi yao huwa sahihi.
Lazaro Nyalandu ndio mkombozi wetu kwa sasa kama chama lakini hatuwezi kubeza nguvu na ushawishi alionao Lissu, ila kwa sasa na kwa uchaguzi huu tunaenda na Nyalandu.

Kwa nini Nyalandu?

- Ana uzoefu wa kutosha sana kwenye serikali
- Ana urafiki na ukaribu mzuri sana na nchi zingine za nje ambapo suala la kidiplomasia linakuwa jepesi sana.
- Ni msikivu, mnyenyekevu na kiongozi mahiri sana. Hana jazba.

Lissu kwa sasa sio mtu sahihi wa kutuvusha hivyo tunamuomba na tunaomba sana amuunge mkono mshika bendera wetu wa urais, bwana Lazaro Nyalandu.

#2020Chadema twende na Nyalandu#

Lazaro Nyalandu is just an opportunist....!!! Tukisingatia kuwa huyu bado ana KADI YA CCM mfukoni atatuletea upuuzi uleule wa MAMLUKI WA CCM kurudi chamani kwa madai ya kitoto kuunga mkono Jiwe.....!!!
Tundu Lissu ni MPINZANI from the very beginning na hajawahi kuyumba kwa kuhamia Chama kingine nje ya CHADEMA!!!

Twendwni na Tundu Lissu njia ni nyeupe peeee!!
Magufuli ni sawa na Chui wa Karatasi mbele ya Tundu Lissu🤣🤣🤣
 
Chadema mkimpitisha Nyalandu mtakuwa mmefeli hata kabla ya uchaguzi kufanyika, mpitishen Lisu ili moto uwake kati ya CCM na CDM tofauti na hapo basi
Hakuna cha moto wowote kutoka kwa Lissu. Kutoka kwa Lissu na wengine wote tusubiri kuona vicheche tu ambavyo haviwezi hata kuunguza au kuwasha moto kwenye nyumba ya nyasi. Najua huamini utasema ni ushabiki wa Lumumba, basi cha kufanya ni TUSUBIRI kwani subira huvuta heri!
 
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.

Chadema ni taasisi imara na inajengwa na viongozi imara sana hivyo pasina shaka yoyote maamuzi yao huwa sahihi.
Lazaro Nyalandu ndio mkombozi wetu kwa sasa kama chama lakini hatuwezi kubeza nguvu na ushawishi alionao Lissu, ila kwa sasa na kwa uchaguzi huu tunaenda na Nyalandu.

Kwa nini Nyalandu?

- Ana uzoefu wa kutosha sana kwenye serikali
- Ana urafiki na ukaribu mzuri sana na nchi zingine za nje ambapo suala la kidiplomasia linakuwa jepesi sana.
- Ni msikivu, mnyenyekevu na kiongozi mahiri sana. Hana jazba.

Lissu kwa sasa sio mtu sahihi wa kutuvusha hivyo tunamuomba na tunaomba sana amuunge mkono mshika bendera wetu wa urais, bwana Lazaro Nyalandu.

#2020Chadema twende na Nyalandu#
Weee mataga, umejiunga lini CHADEMA?
Au ndio umetumwa na steve Nyerere ulete huu upotolo huku JamiiForums?
 
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.

Chadema ni taasisi imara na inajengwa na viongozi imara sana hivyo pasina shaka yoyote maamuzi yao huwa sahihi.
Lazaro Nyalandu ndio mkombozi wetu kwa sasa kama chama lakini hatuwezi kubeza nguvu na ushawishi alionao Lissu, ila kwa sasa na kwa uchaguzi huu tunaenda na Nyalandu.

Kwa nini Nyalandu?

- Ana uzoefu wa kutosha sana kwenye serikali
- Ana urafiki na ukaribu mzuri sana na nchi zingine za nje ambapo suala la kidiplomasia linakuwa jepesi sana.
- Ni msikivu, mnyenyekevu na kiongozi mahiri sana. Hana jazba.

Lissu kwa sasa sio mtu sahihi wa kutuvusha hivyo tunamuomba na tunaomba sana amuunge mkono mshika bendera wetu wa urais, bwana Lazaro Nyalandu.

#2020Chadema twende na Nyalandu#
upinzani credible presidential candidate ni Tundu Lissu, ikishindikana kwa sababu yoyote ile then plan B has to be Zitto Kabwe.

vinginevyo sisi NON-MATAGA CCM na wapinzani wengine serious hatutapiga kupiga kura ya urais - tutachagua wabunge na madiwani tu!
 
Huku tukiwa tunasubiri mkutano mkuu unaze hapo kesho, nipende kuwajulisha kuwa chama kama chama kina weledi na intelijensia ya kutosha hasa wakati huu wa vikao vya chama.

Chadema ni taasisi imara na inajengwa na viongozi imara sana hivyo pasina shaka yoyote maamuzi yao huwa sahihi.
Lazaro Nyalandu ndio mkombozi wetu kwa sasa kama chama lakini hatuwezi kubeza nguvu na ushawishi alionao Lissu, ila kwa sasa na kwa uchaguzi huu tunaenda na Nyalandu.

Kwa nini Nyalandu?

- Ana uzoefu wa kutosha sana kwenye serikali
- Ana urafiki na ukaribu mzuri sana na nchi zingine za nje ambapo suala la kidiplomasia linakuwa jepesi sana.
- Ni msikivu, mnyenyekevu na kiongozi mahiri sana. Hana jazba.

Lissu kwa sasa sio mtu sahihi wa kutuvusha hivyo tunamuomba na tunaomba sana amuunge mkono mshika bendera wetu wa urais, bwana Lazaro Nyalandu.

#2020Chadema twende na Nyalandu#
Wewe nadhani ni wa upande wa pili. Kwenye hili hats Nyalandu mwenyewe anajua Tundu Lissu ni habari nyingine. Anatimiza taratibu tu ili demokrasia ichukue mkondo wake.

Usishangae siku hiyo Nyalandu akajitoa kumuunga mkono kamanda Lissu hats kabla ya kupiga kura. Take my words, Lissu hana mpinzani.
 
Hakuna cha moto wowote kutoka kwa Lissu. Kutoka kwa Lissu na wengine wote tusubiri kuona vicheche tu ambavyo haviwezi hata kuunguza au kuwasha moto kwenye nyumba ya nyasi. Najua huamini utasema ni ushabiki wa Lumumba, basi cha kufanya ni TUSUBIRI kwani subira huvuta heri!
No si kwamba nasema Lisu atashinda uchaguzi, Lisu hawezi kushinda ilo liko wazi hata mtoto mdogo anajua kuwa Tanzania hakuna mtu anaweza shinda uchaguzi dhidi ya chama tawala hii ni kutokana kwamba ni desturi imejengeka kwamba wapiga kura si waamuzi wa kujiwekewa viongozi wanaowataka bali rejeeni kilichofanyika kwenye chaguzi za 2015, chaguzi za marudio na chaguzi za serikali za mitaa za 2019, nawasihi CDM kumsimamisha Lisu si kwa ajili ya kutwaa nchi bali kunogesha uchaguzi km tulivyozoea huko nyuma, lakini ikiwa watamsimamisha Nyalandu uchaguzi utapoa sana na kutokuwa na mvuto, CDM haitakuwa na Tofauti na vile vyama vya akina Shibuda na Mrema.
 
Back
Top Bottom