Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu toka Idukilo tutakuja kumdhamini Lissu.
Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.
Stay tuned!
Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.
Stay tuned!