Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Sawa Mwanasheria na Mwanasayansi Lord Denning!Habari ndo iyo! Mitambo yote ya Nyarandu inahamia kwa Lissu.
Ulimwengu utaenda kushangaa miujiza ya Mungu inayoenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Pamoja na limited resources kwa Chadema watu wanaenda kuchangia kampeni yao kwa kiwango cha juu Sana na Magufuli anaenda kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa mwaka huu!
Karibu sana Ndugu. Usitie shaka. Kijani hawana pa kutokea mwaka huu. Historia inaenda kuandikwa na huyu mpakwa mafuta aliyeponywa risasi 16 na Mwenyezi Mungu.Sawa Mwanasheria na Mwanasayansi Lord Denning!
Huna habari Mroto ni mwana CHADEMA tangu zamani!Polisi mnakwama vipi mbona Lissu anatembea na maandamano yasiyo na vibali na muda wa kampeni bado?
Ww Ni sisiem maandaz na watu km nyinyi hampasw kuaminika popote mtakapoenda hususan kwa huyo jamaa ambaye aliwah gongwa na nyoka akiona kichaka tu lazima kifyekwe.Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu toka Idukilo tutakuja kumdhamini Lissu.
Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.
Stay tuned!
Huna habari Mroto ni mwana CHADEMA tangu zamani!
Utabiri mzuri; delete ccm Oct 28Habari ndo iyo! Mitambo yote ya Nyarandu inahamia kwa Lissu.
Ulimwengu utaenda kushangaa miujiza ya Mungu inayoenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Pamoja na limited resources kwa Chadema watu wanaenda kuchangia kampeni yao kwa kiwango cha juu Sana na Magufuli anaenda kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa mwaka huu!
Ameen
Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu toka Idukilo tutakuja kumdhamini Lissu.
Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.
Stay tuned!
wanatafuta sababu ili wapate cha kusema baada ya uchaguzi, sasa polisi waachie tu tutamalizana nao kwenye box la kura hao.Polisi mnakwama vipi mbona Lissu anatembea na maandamano yasiyo na vibali na muda wa kampeni bado?
Sawa Mwanasheria na Mwanasayansi Lord Denning!
Usiwe na wasiwasi JPM atashinda tu. Muache Lisu awape elimi ya uraia watanzania wajitambue.Polisi mnakwama vipi mbona Lissu anatembea na maandamano yasiyo na vibali na muda wa kampeni bado?
Nani alikwambia lile basi ni la Nyalandu?Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu toka Idukilo tutakuja kumdhamini Lissu.
Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.
Stay tuned!
Meaning?CCM is a big curse