Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema Maendeleo ya kweli yataletwa na Chama cha Mapinduzi Akiwahimiza Wananchi kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na Chama hicho Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Akizungumza na Wananchi wa kata ya Msisi Wilaya ya Singida katika Mkutano wa Kampeni za wagombea wanaowania Uongozi wa Serikali za Mitaa kupitia chama hicho Nyalandu Amesema Chama Hicho Kina Viongozi wenye Maono Makubwa ya kuiletea Maendeleo Tanzania Akisisitiza kuwa Bila CCM imara Tanzania Itadorora.
Amesema Serikali Chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Imeyagusa Maisha ya watanzania wote hasa wa Mkoa wa Singida Akitolea mifano Miradi ya Skimu za Umwagiliaji ambazo zinakwenda kuwasaidia Wakulima Kuvuna zadi ya Mara mbili.