Uchaguzi 2020 Nyalandu: CHADEMA tukiingia Ikulu tutaanzisha benki ya vijana

Safi Nyalandu
 
Hajazungumzia kuhusu usafirishaji wa Twiga waliyo hai?
 
Umeshindwa kuianzisha ujafika ikulu ndio itaweza ukifika ikulu ........hakuna zwazwa hapa ........kijani mbele kwa mbele
 
Nyalandu anawahadaa tu vihana,halafu yeye ni mtia nia tu hara fomu hajapewa ameshaanza kuahidi
Chadema labda wakaingie ikulu ya sultani kimweri,huko vuga usambaani
 
Tatizo la mambo kama hayo ni Urasimu,

Unakuta mambo ya viti maaalm yanajirudia kwa mlango mwingine
 
Makamanda wa bavicha watatajirika kweli kweli. Mpigieni deki huyo jamaa kwenye barabara zoote atakazopita kama mlivyofanya kwa Lowasa.
 
Vijana hawahitaji bank maana hata kwa sasa wana asilimia 4 kutoka halimashauri isiyokuwa na iba. Anajisumbua tu.
 
Sera za chadema haziruhusu, chadema ni chama chenye mwelekeo wa kibepari kinaamini kwa serikali kutofanya biashara sasa akiingia madarakani ataendesha nchi kwa matakwa yake au kwa kufata sera za chama chake
 
nilikuaga naskia watu wanamsifia Huyu jamaa kuwa ni kichwa..sijui walikuwa wanatumia criteria gan kumuita kichwa.
 

Nyalandu ana akili sana za Darasani ila utekelezaji ni sifuri kabisa. Yeye mwenyewe ni shahidi alishindwa kabisa alipokabidhiwa wizara ya maliasili na utalii. Alishindwa kabisa kusimamia taasisi zote kama TANAPA, NCAA, TTB, TAWIRI na Misitu. Alikuwa hashiki file akamaliza utakuta keshakimbia Kilimanjaro Hyatt pale kwenye lounge anenda kuongea na ma miss. Binafsi sijui alikuwa anafanya nini pale Mpingo House alikuwa tu anamtesa Katibu Mkuu wake Dr Adhelem Meru. Nashangaa sana nikiona kweli kweli kweli Nyalandu nae anataka kuwa Rais w JMT aongeza watanzania Ml 60!!!! Be serious bro you can not fit this pair of shoes
 
Vipi kuhusu wale Twiga wetu aliowatorosha, atawarudisha?
 
Meko ndio amesababisha sitaki hata kupiga kura,
ALiongea mambo mazuri sana IlA alichokuja kukifanya ni kama analea mtoto wa mambo
Waalimu kimya
Ajira -0
Propaganda-10000000%
Bodi ya heslib kapandisha yaaniyeye yupo kwa ajili ya kukomoa na maigizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…