Yap, kama wao wayatumia silaha za moto (policcm) wao watumie za jadi.Safi sana, kuna uwezekano "gharama yeyote " ilishaanza tumika kwa ajili ya hilo jimbo...
Poleni mabilionea wa Kijani
Nashauri chadema nao watumie "Gharama yeyote" kuukomboa "rasmi" mkoa huo
Lema alituaminisha kuwa hakuna jeshi wala bunduki imewahi kuishinda NGUVU YA UMMA.Kama nguvu ya umma imepotea kwanini ccm ya awamu ya 5 inatumia jeshi kuliko hata makaburu ?
nimesikia huu mkakati..ila hili ni kosa kubwa kwa mtazamo wangu. hawa wanafikiri hali hapa chuga ni kama miaka nane kumi iliopita.hili jimbo wanalipoteza hawa.Mkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
Tume ni ya CCM, hilo liko wazimsisingizie sasa baadae tume....
Mna mambo vijana!!Kitimoto Bila Nyagi Iyo Itakuwa Nyama Ya Kunguru
Waiter Zungusha Tena Bapa Mbili
Ata akisamama JanjaroArusha chadema hata waweke kijana mwenye miaka 18 atashinda tu
Ufipa wasubiri kupigwa 3 - 0Aiseee mambo moto sasa ni vita kati ya ufipa na Lumumba ............ Waiter another kitimoto pliz nchek huu mpambano
Kwanini unamuweka mjini wakati Nyalandu nyumbani kwake ni Arumeru MagharibiMkuu labda nikutaarifu tu mpango ambao umesukwa ni kutaka Nyalandu agombee jimbo la Arusha mjini mwaka 2020, Lema atakwenda Hai na Mbowe aende Moshi mjini na hapo ndio vita kati ya Mbowe na Jafarry Michael itakapofufuka...lkn Nyalandu akiingia Arusha ndio stori yake kisiasa itakwisha
Kwake ni njiro mkuu huko Arumeru sipajuiKwanini unamuweka mjini wakati Nyalandu nyumbani kwake ni Arumeru Magharibi
Wasting of time ccm watashinda hilo jimbo tu.