johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sioni tatizo, yatajadiliwa na kukubalika, yakikataliwa , CDM inasonga mbelechama chake cha Chadema.
Wanachadema wa kweli watamuunga mkono!Keisha kubali kukatwa Jina lake huko, yaani Kwa Chadema hata kama kutahitajika MABADIRIKO ni Bora wazo Hilo libaki moyoni Kwanza kabla hujapata Uongozi, ukifanikiwa kuwa kiongozi ndipo ufanyie kazi hayo MABADIRIKO, la sivyo utakuwa hujipendi
Ona hii Corona
Hahahahha... Umeandika as if kuna kitu unakiju hivi!Sioni tatizo, yatajadiliwa na kukubalika, yakikataliwa , CDM inasonga mbele
Kweli kabisa chadema inaitaji mabadiliko waache siasa za kitoto ambazo watanzania walio wengi sasa wameshawastukia na watanzania now day wanataka vitendo zaidi na sio bra bra zao nyalandu kama anatoa hoja nzuri kama izi ni ishara hameona kitu ambacho sio sawa ...
Machadema hayatakagi kuambiwa ukweli sijui kwanini yan ukweli ni kwamba watanzania kwa sasa wanaakili na niwatu wanaofahamu mambo ivo kama chadema wataendelea na siasa zao za kitoto watapotea kama vilivyopotea vyama vingine ......[emoji1321]♂[emoji1321]♂[emoji1321]♂CCM BADO HAINA MPINZANI MBAKA SASA
Nikiona mtu anaandika kwa jazba, na lugha za bendera fuata upepo, huku akiwa haweki koma wala nukta, naishia kumdharau sana. Na vilaza wa aina hii wengi wako ccm. Sasa hata kama kanuni rahisi tu za uandishi zinakushinda, huo uelewa unautoa wapi?
Uwo muda wa kuandika kwa koma naupata wapi acha utoto apa muhimu ujumbe umeupata unataka nikuandikie kama nakuomba kazi .....MASKINI MKUBWA WEWE
Atazuia wananchama na wabunge kunywa konyagi na kuvuta bangi.Mabadiliko gani atakae yafanya ndani ya chama?