Nyalandu: Saa ya mabadiliko ni sasa, si kwa Tanzania tu bali hata CHADEMA lazima ibadilike

Nyalandu: Saa ya mabadiliko ni sasa, si kwa Tanzania tu bali hata CHADEMA lazima ibadilike

Mtia nia wa nafasi ya urais kupitia CHADEMA, Lazaro Nyalandu amesema saa ya mabadiliko imefika kwa taifa na chama chake cha CHADEMA.

Nyalandu amesema endapo atapata ridhaa ya chama chake kugombea urais ataleta mabadiliko makubwa ndani ya CHADEMA na mabaraza yake.


Chanzo: Clouds 360
Ccm wameharibu nchi sana, hakuna demokrasia, maisha yamekuwa magumu na ubaguzi umekithiri.
 
Naomba tu mmukumbushe huyu kijana kuwa "Sumu Haionjwi".

Lasivyo atakipata anachokitafuta.
 
Back
Top Bottom