Habari wana JF.
Kulikuwa na mwaliko wa kushiriki nyamachoma kwa JF members siku ya sabasaba. Naomba tupate mrejesho wa kilichojiri siku hiyo (kama mada iliisha letwa basi mniwie radhi sikuiona). Mrejesho husaidia katika kupanga matukio mengine ya jinsi hiyo wakati ujao. Baadahi ya maeneo unaweza kuchangia ni pamoja na
● mahudhurio
● changamoto zozote zilizojitokeza
● members uliofanikiwa kuwaona live
● mapendekezo yako kwa siku zijazo, au matukio kama hayo
● mambo yaliyo kufurahisha
● n.k.
KARIBU TAFADHARI
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app