Nyama choma ya tarehe 7.7.2017: Mrejesho

Nyama choma ya tarehe 7.7.2017: Mrejesho

TGInnocent

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
1,088
Reaction score
582
Habari wana JF.
Kulikuwa na mwaliko wa kushiriki nyamachoma kwa JF members siku ya sabasaba. Naomba tupate mrejesho wa kilichojiri siku hiyo (kama mada iliisha letwa basi mniwie radhi sikuiona). Mrejesho husaidia katika kupanga matukio mengine ya jinsi hiyo wakati ujao. Baadahi ya maeneo unaweza kuchangia ni pamoja na
● mahudhurio
● changamoto zozote zilizojitokeza
● members uliofanikiwa kuwaona live
● mapendekezo yako kwa siku zijazo, au matukio kama hayo
● mambo yaliyo kufurahisha
● n.k.

KARIBU TAFADHARI

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wale team weka picha wapo wapi siku hizi ? Au huu upepo umewapitia nauliza tu maana nimewamiss kwenye thread kama hizi..
Wameshakuwa Wahenga.....

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
wamikoani wasubiri nane nane
Kama ya sabasaba ilishindikana sidhani kama waandaaji wale wale watafanikisha ya nanenane. Labda wa mikoani wafanye mchakato wao kuandaa na kushilikisha wanajamvi.

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom